Bia za siku hizi ni mimaji tu

tanzania.jpg

Ukweli ni kwamba siku hizi wanywaji wengi wananywea fasheni tu na ndio maana si aghalabu kukuta walevi wa kupepesuka kwa nini kwa sababu BIA zenyewe hazilevi ni MIMAJI TU
images


Ukweli zaidi ni kwamba mahitaji yameongezeka (hasa sikukukuu) ilihali uzalishaji ni ule ule hvyo kimea hakikai kikaiva vizuri kwani BIA inazalishwa siku hiyo hiyo na kuwekwa sokoni

Hili ni eneo la kuibia watu pesa tu kwani mimaji unayokunywa kwa 2500 ungeweza kunywa kwa jero au buku tu
tanzanian-beers.jpg


hili nimeligundua hata kwa KONYAGI PIA hadi wanahangaika na majina sijuio orijino nk
Baada ya kugundua kua kila kilevi chenye teknolojia ya mzungu ni hatari sana, sasa hovi nimehamia kwenye pombe za kienyeji lakini kistaarabu mno, nanywea home kayoga na gongo, hafu sovuti tena sigara navuta tumbaku
 
Back
Top Bottom