fokonola bokoyoka
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 966
- 638
Nomination ingekuwa inafanyika DDC ningeamini
Hahahaha mkuu uyu mtu alibishana sana umu utafikir anaijua sana siasa ya Marekani..alitoa uchambuzi anaojua yeye ona sasa kilichotokea...Bado anaota huyu
uchambuzi yakinifuSubiri uone hiyo game sasa, kwani Obama ilikuwaje?? Unafikiri Obama ni juhudi zake ndizo zilizompa Uraisi? Hapana, ni ma elite wa ,,USA baby" ndiyo waliotaka iwe hivyo na alishaandaliwa long time, hivyo hata huyu Myahudi Sanders itakuwa hivyo, Trump ametumiwa tu kuondoa wale ambao wangeweza kumpa shida Sanders kama akina Bush & Co. kuna sababu kwa nini Trump amechukuwa mijeledi yote ktk kila mahali lkn hajamshitaki mtu wkt ,,USA baby" ni nchi ya kushitaki shitaki tu kila kitu!
ulikua unakosoa sana wenzako mkuu...ona sasa kilichotokeaWewe hauna uelewa na uchaguzi wa ,,USA baby" umelishwa tu maneno ya demokrasia na media na wewe unakubali, kwa taarifa yako tu chaguzi zote Duniani hupangwa na maelite na mbinu hutofautina kulingana na sophistication ya jamii husika, wanaopanga raisi wa TZ mbinu zao ni tofauti na wanaopanga Raisi wa USA lkn wote ni wale wale tu, kuna ma elite ndiyo wanaoamua nani awe Raisi na nani asiwe na siyo Wananchi!
na ndiyo maana hata ,,USA baby" kwenyewe kuna kitu wanaita voter aparthy yaani ususiaji wa wananchi kupiga kura na moja ya sababu ndiyo hiyo watu hawaoni tofauti ya nani Raisi mwisho wa siku kila Raisi anafanya yale yale tu ya kuhudumia ma elite, leo wa ,,USA baby" wengi hawaoni tofauti ya Obama na Bush ingawaje mwanzoni walitoa machozi alipoapishwa!
Hahahaha kweli siku hazigandiHaya mkuu, siku hazigandi, yetu macho na masikio
Hahahaha alikua anakosoa sana sana wenzie eti hawajui siasa za Marekani...yeye anaejua ona kilichomkutaulikuwa ni uchambuzi wa mwendokasi, ndugu yangu barbosa turudi zetu tukasimamie ilani ya chama chetu CCM huko waachie wenyewe
Mugabe?Wewe hauna uelewa na uchaguzi wa ,,USA baby" umelishwa tu maneno ya demokrasia na media na wewe unakubali, kwa taarifa yako tu chaguzi zote Duniani hupangwa na maelite na mbinu hutofautina kulingana na sophistication ya jamii husika, wanaopanga raisi wa TZ mbinu zao ni tofauti na wanaopanga Raisi wa USA lkn wote ni wale wale tu, kuna ma elite ndiyo wanaoamua nani awe Raisi na nani asiwe na siyo Wananchi!
na ndiyo maana hata ,,USA baby" kwenyewe kuna kitu wanaita voter aparthy yaani ususiaji wa wananchi kupiga kura na moja ya sababu ndiyo hiyo watu hawaoni tofauti ya nani Raisi mwisho wa siku kila Raisi anafanya yale yale tu ya kuhudumia ma elite, leo wa ,,USA baby" wengi hawaoni tofauti ya Obama na Bush ingawaje mwanzoni walitoa machozi alipoapishwa!
Hilo liko wazi kabisa Donald Trump yupo kwa ajili hiyo ya kuhakikisha Bernie Sanders ndiye anakuwa Raisi wa ,,USA baby"!
Hilarry Clinton hana nafasi yoyote ile ya kushinda kwani maestablishement wamemuweka kiporo tu wanasubiri filimbi ipulizwe halafu waibue upya skandali la
E -mail na kutishia kumfunga!!
Baada ya aliyeitwa Raisi mweusi (Obama), sasa maestablishement wameamua ni zamu yake na huyo ndiyo mwisho wa kila kitu, kwani huyu ndiyo anakwenda kukamilisha USA agenda ya kutawala Dunia!
Hapa ndipo hujui kitu sasa, hakuna Raisi duniani anayechaguliwa na wananchi, hasa ulaya na mataifa ya Africa, na America ya kusini, labda Asia huko. Wote huchaguliwa na m'a elites. # factmkuu hayo ni mawazo yako kila mtu anahaki ya kutoa mawazo yake bila kivunja sharia.
Lakini kama ipo ipo2. Maana Sote twajua Atalo Mungu liwe linakua, maana hao unaowaita mfumo ni wanadam2.
Haukua ushauri wa mwendokasi bali ni ushauri ulioingia kwenye barabara ya mwendokasi.ulikuwa ni uchambuzi wa mwendokasi, ndugu yangu barbosa turudi zetu tukasimamie ilani ya chama chetu CCM huko waachie wenyewe