Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,897
Arejeshe kwa Wateja wapi kipindi hiki?kama aliuza kila kitu alikopa tena benk ya nini? ila namuombea Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi ni vizuri pia akakaa na benk aendelee na operation za hotel ili arejeshe kidogo kidogo.au kama vipi atafute mjeja amuuzie hyo b 5 awape benk yakwao abakiwe na zingine .
Poyee
Kama anadaiwa 920m, hotel ikauzwa 2.5b, benk itachukua kiasi inachomdai na kinachobaki atarudishiwa mwenyeweMay be penalty kama alikuwa hatoi rejesho..bank unaweza kuwa unadaiwa lets 100 mio ..uka defaults ...kitendo cha kutolipa rejesho mwisho wa mwezi inaweza kuta upo hadi 200mio
Sent using Jamii Forums mobile app