ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 61,360
- 71,836
Wana nyodo sana wale wahudumu wa NMB kwanza wako slow sana na pia hiyo Benki imekuwa kero maana mtu ana buku eti anaenda kupanga foleni 😆😆Naunga mkono hoja 👍👏
Wana nyege waleWana nyodo sana wale wahudumu wa NMB kwanza wako slow sana na pia hiyo Benki imekuwa kero maana mtu ana buku eti anaenda kupanga foleni 😆😆
😂😂😂😂 Huna akili ila Nchi zetu ni maskini aisee.Benki zote hizo utajiri ni kama usd 20bil duuuh uchumi wa buluu huu wacha watu wakakope tu huko nje
Yaani waungane mali pamoja na akiba za wateja ni kama usd 35bil duh😂😂😂😂 Huna akili ila Nchi zetu ni maskini aisee.
Hizo banks haziwezi kufadhili miradi mikubwa hata ziungane zoote 😆😆
NMB waliangalie hili jambo.Ufalme wa NMB umefutwa rasmi na CRDB.
---
Benki kubwa zaidi Tanzania kwa thamani ya mali (Tsh):
1. CRDB-Trilioni 11.6
2. NMB-Trilioni 10.2
3. NBC-Trilioni 2.8
4. Stanbic-Trilioni 2.1
5. Standard Chartered-Trilioni 2
6. DTB-Trilioni 1.6
7. Exim-Trilioni 1.6
8. Azania-Trilioni 1.4
9. PBZ-Trilioni 1.4
10. TCB-Trilioni 1.2
11. ABSA-Trilioni 1.2
12. KCB-Trilioni 1.1
13. Citibank-Trilioni 1.1
14. Equity-Bilioni 877
15. BOA-Bilioni 784
View attachment 2786474
Vipi Akiba Commercial iko ya ngapi??Ufalme wa NMB umefutwa rasmi na CRDB.
---
Benki kubwa zaidi Tanzania kwa thamani ya mali (Tsh):
1. CRDB-Trilioni 11.6
2. NMB-Trilioni 10.2
3. NBC-Trilioni 2.8
4. Stanbic-Trilioni 2.1
5. Standard Chartered-Trilioni 2
6. DTB-Trilioni 1.6
7. Exim-Trilioni 1.6
8. Azania-Trilioni 1.4
9. PBZ-Trilioni 1.4
10. TCB-Trilioni 1.2
11. ABSA-Trilioni 1.2
12. KCB-Trilioni 1.1
13. Citibank-Trilioni 1.1
14. Equity-Bilioni 877
15. BOA-Bilioni 784
View attachment 2786474
Umeeleza Kisomi Sana...hongera kwa kuliona hiloBado NMB ipo strong na nitakuambia ni kwanini.
Kwenye mambo ya kibenki, kinacho matter sana ni return on asset ambayo bado NMB wapo juu maradufu ya CRDB.
CRDB kuwa na amana au asset nyingi kuliko NMB inawezekana ikawa imetokana na CRDB kuwa aggressive kutoa mikopo kwa bei au riba ya chini kuliko NMB, kitu ambacho kwangu mimi inamaanisha CRDB wana exposure kubwa ya risk kuliko NMB.
Yaani mfano wewe unauza vitumbua 10 kwa sh. 200 wakati mwenzako anauza vitumbua 5 kwa sh. 500. Huwezi kusema kwamba wewe uliyeuza vitumbua 10 ni bora kuliko aliyeuza vitumbua 5 wakati unaona wazi kwamba wewe umeuza 10 kwa sh. 200 = 2000 wakati mwenzako kauza 5 kwa 500 = 2500
Kuna mengi ya kuelezea hapo ila nimekupa hiyo perspective uichanganue
Pamoja mkuuUmeeleza Kisomi Sana...hongera kwa kuliona hilo
Hahahaa mkuu mali ni Asset na akiba za wateja ipo kwenye liabilities... hivo viwili haviwezi kujumlishika.. labda uvijumlishe tu for the sake of kujumlisha ila hutapata maanaYaani waungane mali pamoja na akiba za wateja ni kama usd 35bil duh