Benki ya CRDB yaipiku NMB na kuwa Benki kubwa zaidi Tanzania

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
61,359
71,826
Ufalme wa NMB umefutwa rasmi na CRDB.
---
Benki kubwa zaidi Tanzania kwa thamani ya mali (Tsh):

1. CRDB-Trilioni 11.6
2. NMB-Trilioni 10.2
3. NBC-Trilioni 2.8
4. Stanbic-Trilioni 2.1
5. Standard Chartered-Trilioni 2
6. DTB-Trilioni 1.6
7. Exim-Trilioni 1.6
8. Azania-Trilioni 1.4
9. PBZ-Trilioni 1.4
10. TCB-Trilioni 1.2
11. ABSA-Trilioni 1.2
12. KCB-Trilioni 1.1
13. Citibank-Trilioni 1.1
14. Equity-Bilioni 877
15. BOA-Bilioni 784

Screenshot_20231019-164014_1.jpg
 
View attachment 2786474
NMB waliangalie hili jambo.

hasa kwa watoa huduma wao na vitendea kazi.

Mfano unataka update namba ya siri,ukienda wanakwambia mashine haifanyi kazi jaribu tawi lingine.

Ukaamua kujipa siku kama tatu ili warekebishe asee ukienda unaambiwa bado boss tunasubiri mashine.

CRDB hongereni kwa hilo ila msibweteke.
 
Ufalme wa NMB umefutwa rasmi na CRDB.
---
Benki kubwa zaidi Tanzania kwa thamani ya mali (Tsh):

1. CRDB-Trilioni 11.6
2. NMB-Trilioni 10.2
3. NBC-Trilioni 2.8
4. Stanbic-Trilioni 2.1
5. Standard Chartered-Trilioni 2
6. DTB-Trilioni 1.6
7. Exim-Trilioni 1.6
8. Azania-Trilioni 1.4
9. PBZ-Trilioni 1.4
10. TCB-Trilioni 1.2
11. ABSA-Trilioni 1.2
12. KCB-Trilioni 1.1
13. Citibank-Trilioni 1.1
14. Equity-Bilioni 877
15. BOA-Bilioni 784

View attachment 2786474
Vipi Akiba Commercial iko ya ngapi??
 
Bado NMB ipo strong na nitakuambia ni kwanini.

Kwenye mambo ya kibenki, kinacho matter sana ni return on asset ambayo bado NMB wapo juu maradufu ya CRDB.

CRDB kuwa na amana au asset nyingi kuliko NMB inawezekana ikawa imetokana na CRDB kuwa aggressive kutoa mikopo kwa bei au riba ya chini kuliko NMB, kitu ambacho kwangu mimi inamaanisha CRDB wana exposure kubwa ya risk kuliko NMB.

Yaani mfano wewe unauza vitumbua 10 kwa sh. 200 wakati mwenzako anauza vitumbua 5 kwa sh. 500. Huwezi kusema kwamba wewe uliyeuza vitumbua 10 ni bora kuliko aliyeuza vitumbua 5 wakati unaona wazi kwamba wewe umeuza 10 kwa sh. 200 = 2000 wakati mwenzako kauza 5 kwa 500 = 2500

Kuna mengi ya kuelezea hapo ila nimekupa hiyo perspective uichanganue
 
Umeeleza Kisomi Sana...hongera kwa kuliona hilo
 
Nmb ufanyaji kazi wao as if wamefika kilele cha mafanikio walichokuwa wanataka kwa hiyo hawana shida sana na wateja na wanajiona wana kiwango cha kutosha cha wateja lkn kuna benki zipo vizuri sana kihuduma watawapiku muda si mrefu huko mbeleni
 
Back
Top Bottom