Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,735
- 21,064
TIB ilijulikana toka miaka miwili iliyopita itafikia hali ya mufilisi miaka ya karibuni. Watu walichukua mikopo mikubwa sana kwa miradi isiyofanyiwa tathimini vizuri. Pesa nyingi kwa miradi isiyotekelezeka au isiyoweza kuleta mrejesho mkubwa kuweza kulipa deni na riba. Awamu ya mwisho hasa miaka miwili ya mwisho ya Mh. Yule waliemshangalia wabunge na akina Msigwa wakamlilia "tunakumiss.." watu mbalimbali(wanasiasa na wafanyabishara wa kweli)walichota mapesa mengi TIB kwa kasi ya ajabu.Na TIB pia? Kweli Hali ngumu. But nini tafsiri ya hii Hali ya mabenki mengi nchini kutikisika?