Benki gani ni nzuri kwa kufungua akaunti ya mtoto?

Kabla ya kuja nakupiemu no yangu ya empesa ili nipate kununua vya kuwaandalia wageni! LOL
I am also serious.
Kwa hiyo huo ndio utaratibu wa kinyamwezi au umeamua kunikomoa. Pesa mbele, mtu mwenyewe sijamuona. Mbona kazi?
 
Kwa hiyo huo ndio utaratibu wa kinyamwezi au umeamua kunikomoa. Pesa mbele, mtu mwenyewe sijamuona. Mbona kazi?

Jamani hiyo ndio kishika uchumba, wewe ulishaona wapi maombi ya uchumba hayaambatani na bahasha?
 
So far nimefahamu kuhusu Junior Jumbo ya CRDB,vipi wadau hakuna mbadala katika hili????....
 
So far nimefahamu kuhusu Junior Jumbo ya CRDB,vipi wadau hakuna mbadala katika hili????....

Kuna Cub Account ya KCB bank, najua hamna service charges. Wana interest rates kwenye hii a/c lakini sijajua exactly ni % ngapi mkuu. Unaweza kuwapigia hiyo benki kupata info zaidi. au nikiipata hiyo info mapema nitakuwekea hapa. Kila la kheri!!
 
Shukran BelindaJacob.Nashangaa hakuna hata watu wa marketing wa hizi benki nyingine wanaopita mitaa hii kwani hii ni fursa nzuri ya kutangaza aina tofauti tofauti za account za benki zao
 
wadau

nina kijana wangu nataka nimfungulie bank acount niwe natupiamo tumiatano tano mwisho wa mwezi....naomba ushauri benk iliyo bora zaidi kwenye huduma kama izi...nipamoja na kero za usumbufu apo baadae kwa mwanangu...taratibu za birthcertifcate nimekamilisha....karibuni
 
Back
Top Bottom