mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,709
Wadau nimeifuatilia Bendera ya Rais wa Tanzania na kubaini kuwa Bendera hiyo ni toka Rais wa Awamu ya kwanza.Naomba kujua je Rais aliopo madarakani anaweza kuamua Bendera ya Rais atakayo itumia ktk utawala wake iwe tofauti na bendera ya mtangulizi wake kama wafanyavyo Kenya?