Wazee kwani wale wanao amua kuvihama vyama vyao kwa shangwa zoote na kuhamia katika vyama vingine si huwa wanarudisha kadi kwa kiongozi wa chama anachohamia jee hiyo nayo inaonekana sio uhuni kwa yule kiongozi kuzipokea zile kadi?kwanini muhusika asiirudishe ile kadi katika chama chake alicho kihama? pengine jibu litakuwa kuwaile kadi niyake ni mali yake ana weza kufanya anavyo ta ikiwemo kuchoma au kubadika chooni au vyovyote sasahii bendera ni mali yanani? kwani ninatuma katika hivyo vijiwe kuna michango hapo inapitishwa kama vile mlingoyi saruji mafutaya taa na ikiwemo hiyo bendera sasa wanye maliyao wameona hiyo bendera haina faida kwao kwanini ni vibaya kuamua maamuzi ambayo wanaona ujumbewao utafika haraka kwa walengwa kuliko kuendelea kufanyiwa usanii ambao haushii mpaka wataingia kaburini.