Bendera na nembo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kubadilishwa, wananchi washirikishwe!

have you seen Kenya's flag? people say it looks like a witchdoctors flag....the black has made it look soo bad...a little black is not bad though..just a little...
Do you hate the colour black or what it stands for?
Kumbuka haikuwekwa hapo for urembo tu. Ina maana yake.
 
ni gani ilikua yakwanza kubuniwa kati hizi mbili?I suck in history

Tanzania 1964, south Africa 1994
image.jpg

Tanzania 1964 and Namibia 1990

image.jpg
 
have you seen Kenya's flag? people say it looks like a witchdoctors flag....the black has made it look soo bad...a little black is not bad though..just a little...
Black stands for the people dwelling. Haiwezi tolewa wala kupunguzwa, labda iongezwe.
 
If you do not know the history of Tanzania and many Southern African countries SA included please do some jobs to find out the reason.

Usidhani Tanzania na South Africa ni kama Tanzania na Kenya you are bloody wrong we got some long miles from the core in commons
Kenya the apartheid supporters.
 
If you do not know the history of Tanzania and many Southern African countries SA included please do some jobs to find out the reason.

Usidhani Tanzania na South Africa ni kama Tanzania na Kenya you are bloody wrong we got some long miles from the core in commons
Mnapenda kuwalamba waafrika Kusini matako huku hata hawana habari mnaexist. Majuzijuzi wamekua wakimfukuza makwao na hata kuwaua wenzenu.
 
You are not Tanzanian you wouldn't know.
Tanzanians have visa free access to SA, pay same as South Africans to study in SA etc
Nyie juzi si SA waliwanyima visa free access au? Your govt supported apartheid. Maintained trade and diplomatic ties with the apertheid govt. What did you expect?
Anyways....huu uzi ni kuhusu bendera na nembo ya EAC sio SA na SADC.
 
We si bure una pepo, kwa taarifa yako wangoni (Kabila) lililopo Tanzania ni indigenous wa South Africa they are here as the result of the Ngoni Migration kipindi cha Zulu and they are purely sharing entire traditions and customs with their brothers in South Africa.

Rais wa SA Nelson Mandela ameishi Tanzania miaka mingi sana Morogoro na Dar and other many leaders of freedom fighting movements in southern African countries which later on they became head of states respectively
 
You are not Tanzanian you wouldn't know.
Tanzanians have visa free access to SA, pay same as South Africans to study in SA etc
Nyie juzi si SA waliwanyima visa free access au? Your govt supported apartheid. Maintained trade and diplomatic ties with the apertheid govt. What did you expect?
Anyways....huu uzi ni kuhusu bendera na nembo ya EAC sio SA na SADC.
That man knows only some targets and techniques of how to flying a toilet well actually he's prominent kibera faithful citizen
 
waTz wamejawa chuki kwelikweli!!! chuki haitawaletea maendeleo.
ndio maana mko nyuma
 
Hiyo jumuiya watanzania hatuitaki, nchi yetu ni kubwa na haiihutaji nchi hizo kupiga hatua za kimaendeleo.

Nchi zamEast Africa ndio zinahiitaji zaidi Tanzania, Tanzania ndio kiungo cha nchi hizo zote, Kenya kapakana na Uganda, Tanzania na SS pekee, Tanzania imepakana na nchi zote za EA ukitoa Mgeni SS, so Umuhimu wa tanzania ni mkubwa hapo
 
si ndio. na ni maskini jeuri.
 
Back
Top Bottom