Hah hah hah haya maswali haya.Kwa hiyo wasanii wa Tanzania wananguvu kuliko Chama cha chadema.?
You can imagine mwajiri wake; wala hata hajisumbui?? Who are we to judge???
You can imagine mwajiri wake; wala hata hajisumbui?? Who are we to judge???
Umenifanya nimkumbuke Seth Benjamin aliyekufa akiunga mkono mawazo ya wanasiasa. Watu kama hawa huondoka na wanachokiamini lakini historia yao hufunikwa na kusahaulika haraka. Naichukia siasa kwa hilo.Nilikuwa mara nyingi sana najaribu kufuatilia maandishi ya mmoja ya waandishi waliopata kutokea kusimamia walichoamini haijalishi kina athari au ukweli kiasi gani. Ben Saanane alikuwa na kitu ana kiamini. Alisimamia hicho. Dunia ya leo ni ngumu sana kupata watu wenye kitu wanachoamini zaidi ya vyeo,madaraka na pesa ni ngumu sana.
Ben Saanane sikuwa nakubaliana na kila alichoandika. kuna mengine nlikuwa napingana naye. lakini nliendelea kumheshimu kuwa alikuwa au ni kijana anayejua kutafuta support na kile anachoamini ili watu wengine pia wapate kukifahamu.
Naamini alikuwa Mwaminifu kwa mtu au watu fulan. Ben Saanane aliishi maisha yake akiamua kuwa mwanasiasa wa Aina yake ambaye hakuwa na jukwaa ambalo angesimama na kuongea kwa kutumia kipaza sauti.
Yeye alitumia kalamu.Iinawezekana kuna infos alikuwa anapewa au ni juhudi yake mwenyewe kuzitafuta. Lakini kinachonifanya leo hii niukumbushe umma habari hizi ni yu wapi Ben Saanane? Jitihada za kumtafuta zimeishia wapi? Je, watu wamekubali kuwa hayupo, amejificha au amepotea?
Tulimtia nguvu, tulimsifu kwa ujasili wake , leo haonekani mbona hatusaidii kumtafuta? hatukumbushi kumtafuta? Je ni kweli kuwa tumeshamwacha apotee?
Kwa namna hii ya usahaulifu, mnadhani tunaweza kuwa na mashujaa siku zijazo? ni nani anajua alipo ben saanane?
Uanzishwe uzi maalumu kwa ajili ya rambirambi tujue moja utawala huu utakumbukwa kwa mengiNilikuwa mara nyingi sana najaribu kufuatilia maandishi ya mmoja ya waandishi waliopata kutokea kusimamia walichoamini haijalishi kina athari au ukweli kiasi gani. Ben Saanane alikuwa na kitu ana kiamini. Alisimamia hicho. Dunia ya leo ni ngumu sana kupata watu wenye kitu wanachoamini zaidi ya vyeo,madaraka na pesa ni ngumu sana.
Ben Saanane sikuwa nakubaliana na kila alichoandika. kuna mengine nlikuwa napingana naye. lakini nliendelea kumheshimu kuwa alikuwa au ni kijana anayejua kutafuta support na kile anachoamini ili watu wengine pia wapate kukifahamu.
Naamini alikuwa Mwaminifu kwa mtu au watu fulan. Ben Saanane aliishi maisha yake akiamua kuwa mwanasiasa wa Aina yake ambaye hakuwa na jukwaa ambalo angesimama na kuongea kwa kutumia kipaza sauti.
Yeye alitumia kalamu.Iinawezekana kuna infos alikuwa anapewa au ni juhudi yake mwenyewe kuzitafuta. Lakini kinachonifanya leo hii niukumbushe umma habari hizi ni yu wapi Ben Saanane? Jitihada za kumtafuta zimeishia wapi? Je, watu wamekubali kuwa hayupo, amejificha au amepotea?
Tulimtia nguvu, tulimsifu kwa ujasili wake , leo haonekani mbona hatusaidii kumtafuta? hatukumbushi kumtafuta? Je ni kweli kuwa tumeshamwacha apotee?
Kwa namna hii ya usahaulifu, mnadhani tunaweza kuwa na mashujaa siku zijazo? ni nani anajua alipo ben saanane?
Mbona hawakamatwi kuwajibishwa kuhusu kupotea Ben? Ninavyojua Mimi mtuhumiwa hutiwa nguvuni uchunguzi ukiendeleaKwa sababu Mbowe na Tundu Lisu ndiyo wanaojuwa walichomfanya!
Acha uongo, Kubenea mbunge na kada maarufu wa chadema keshasema anaonekana na washkaji wanakula bata.kwa kweli utawala huu wa ngosha atatuua wengi sana.lakini Mwenyezi mungu anaandika tu dhambi kubwa ya kuua mtu kwa sababu anajua elimu yako ya phd haieleweki ndo unaamua auliwe tu?
"Ben yuko kwenye vijiwe vya kahawa"Muajiri wake ametoa taarifa kwa Serikali ya nchi yake ambayo ndiyo ili mpoteza.Nenda kamuulize Bashite atakueleza namna alivyohusika na utekaji wa Ben