mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,843
- 5,230
Kama hakustahili mbona mlimtumia kuomba kura?
Hao wote mlio watumia kuomba kura mbona mmeishia kuwapiga kimya!
Sitaki kumtetea Wema nae ana madudu yake kama mwanadam ila nataka kuwambia nyie CCM ni wanafiki kipindi mnamtumia kuomba kura hamkumuita malaya leo alivo hamia CDM mnamwita malaya asie sitahili kupokelewa na CDM!
Umeongea point nzuri kuwa "Katumiwa." Na Mbowe kamchukua ili amtumie, then ataenda kwa Zitto, Maalim Seif/Lipumba.