Bei ya pikipiki aina ya Boxer BM 150

Mm nakushaur usinunue dukan mara nyingi wanachakachua engine,,cha kufanya nenda oficin kwao mkabala na sigara,,bei n million 2 laki 2 na elfu hamsin(2,250,000) hiyo n pamoja na helment Moja na kutranser,yaan unakabidhiwa ikiwa na jina lako(umiliki),, kama n ya biashara bima utaamua wew mwenyew kulingana na uwezo wako,zipo za laki na nusu(150,000) na zipo ndogo (69,000)kama sijasahau!!! Usisahau usalama barabaran ni buku 3(3000) japo kwenye stika wameandika buku!!! Kama pkpk itakuwa n ya matumiz binafs itakubid ubadili matumiz ya pkpk toka commercial to private ambapo gharama yake pamoja na kibao(plate number) ni 48,000!!!shughuli zote zitafanywa na aliekuuzia!! Kama upo dar utaitumia kuingia katikati ya jiji usisahau kibali kuepusha usumbufu!! Mm Nina rafiki angu huwa ananiuzia pkpk pale pale showroom yao ukitaka nikusaidie ili uuziwe kitu chenye uhakika bila longolongo njoo pm!! Sio dalali wala sitohitaji kulipwa nia yangu uuziwe kitu ambacho hutojuta!! But sikushaur ukanunue madukan has kariakoo utalia nayo!!!
Upo boss?
 
Hivi boxer kwasasa Dar,zitakua shilingi ngapi.....?
 
mkuu boxer bm 125 na boxer bm 150 kwa sasa ni million 2.65 au 2.75 kwa mawakala..ukienda kwa mo mwenyewe karibu na mataa ya kamata kama unaelekea kigamboni ndocheap ambapo hutofautiana bei na mawakala kwa laki moja tu....

0763 452 031 JULIUS huyu ni sales pale kwa MO ukimcheki atakupa bei zote pamoja yupogo busy kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom