subirini waziri wa maji na sawasco watusambazie maji mazuri muone kama hamtotupigia magoti.. Ipo siku mtachimba meter 1 kwa elf 10. Mnatumia udhaifu wa wizara ya maji kutosambaza maji nanyi mnatunyonya sana wananchi. Siku zenu Zinahesabika za kutupiga mibei yenu hiyoHabari wana jf.Natumai ni wazima wa afya,sisi ni vijana wajasiliamali tunaojihusisha na masuala yahusuyo uchimbaji wa visima vya maji.
Ili uwe na kisima chako cha maji ni lazima kuna baadhi ya hatuwa itakubidi uzifuate.Nazo hatua hizo ni kama nilivyo ziainisha hapo chini,
1. Itakubidi uchimbe kisima (kizuri ni cha kuchimba na mashine sio na mikono)
2. Kisima chako itabidi kiwekwe casing (pvc[screen and plane])
3. Pia itatakiwa kiwekwe Graves
4. Kisha itawekwa pump iliyounganishwa na waya ulioyoka kwenye control box na pia pampu iliyoonganishwa na poly pipe kwa ajili ya kupitisha maji
5. Pia pump lazima ifungwe na kamba,mara nyingi tunapenda kutumia kamba za Manila kwa sababu ni imara na pia ni ngumu kuoza.
6. Baada ya hapo maji yatapandishwa kisha yatachukuliwa sample yake ili yakapimwe kama ni salama kwa matumizi ya binaadamu,mifugo au mimea
Nb. Kabla ya kufunga pampu kisima kina takiwa kiflashiwe ili kiachwe kikiwa kipo safi kabisa.
Hizo zote ni baadhi ya huduma ambazo pia tunazitowa,japokuwa kuna baadhi ya huduma kama kupima maji bado hatujaanza kutoa hiyo huduma, ila kama mteja atataka tumsaidiye kufanya hiyo huduma tutamsaidia kupitia kwa watu wengine.
Bei/gharama zetu za huduma:
Kuchimba kisima tunachimba kwa shillingi elfu sitini (60000) kwa mita moja hii ni bei kwa walioko Dar es salaam
Kwa walioko nje ya dar es salaam tutakubaliana kutokana na mkoa mteja alipo.
Na kwa bei hiyo tajwa hapo juu ni pamoja na usafili na ufungaji wa pampu unakuwa juu yetu.
Mfano: uchimbaji wa kisima cha mita 90 gharama yake ni...
Mita 1 = 60000 tsh
Mita 90 = y
Cross multiplication
Mita 90 × 60000 tsh/mita 1y
Cut Mita both side
90 × 60000tsh/1
5400000tsh
Kwa hiyo gharama za kuchimba kisima cha mita 90 ni shillingi millioni tano na laki nne...gharama hizo ni pamoja na pampu.
Hapo mteja atatakiwa kununuwa maji yatakoyohitajika katika uchimbaji wa kisima na maji hayo yana uzwa tanki moja la lita elfu moja ni shillingi elfu kumi na tano.
Gharama/bei za ground water survey...
Kwa suala la upimaji wa uwepo wa maji tunachaji shillingi 250000 kwa mkazi wa dar es salaam, kwa mteja aliyepo nje ya dar es salaam tunaaanziya kuchaji shillingi laki tano lakini itategemea na mteja alipo.
Njia ya malipo:
Malipo ya ufanyaji wetu wa kazi huwa tunafanya tunapokuwa tupo site, tukishafika site kwa mara ya kwanza pamoja na vifaa vyetu vyote kwa ajili ya kuanza kazi hapo itabidi mteja atowe asilimia 65 ya gharama nzima.Ambayo hela hizo ndizo itakazo tumika kununulia vifaa vya kisima.
Mahali tulipo:
Offisi zetu zipo morogoro wilaya ya kilosa lakini baadhi ya vifaa vyetu vipo Dar es salaam kwa hiyo mteja akituhitaji kama yupo dar es salaam tunaweza kumfanyia kazi kwa gharama zetu za usafili na malipo yatafanyika tutakapo fika site tukiwa na vifaa vya uchimbaji.
Mawasiliano:
Piga simu namba 0628080096
Karibuni nyoote tuwahudumie