Beef la Zari na Wema limerudi tena

Status
Not open for further replies.
Beef ya @zarithebosslady na @wemasepetu inasemekana eti imerudi tena, kama unakumbuka awali Zari alimshutumu Wema Na Team Yake kwa kumdhihAk Tiffah Kuwa ni zombie na c mtoto wa Chibu kwa damu,

Baada ya kusemekana kuwa ujauzito wa Wema umeharibika. Safari hii mama T amekua wa kwanza kurusha kombora na kudai kuwa eti kile kibend cha Sepenga sio cha kweli, kwani alijaza mito ya Kulalia tumboni, na ule mchezo wote ni movi.

Source: Snapchat

Inasemekana eti..

1455869940466-jpg.324158
Mtu mzima wala hapendezi kua na mambo haya,kama Bwana anae yeye stress anajitia za nini?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom