Bavicha wengi kutimkia ACT Wazalendo

Jibu hoja acha kujishaua, Lumumba bwanaaa, hali tete.
Mtu akikuambia mlizoea upigaji maana yake yeye si mpigaji alishazoea kuishi maisha ya kawaida kama mpigiko kwake ni wa kawaida hivyo hana sababu ya kupiga kelele maana kekele zinasabishwa na kitumbua kuwekwa mchanga.
 
Mnyukano wa chini kwa chini ndani ya cdm kati ya Bavicha na 4U movement inaelekea kuwapa ushindi vijana watiifu kwa Lowassa 4U movement chini ya Hemed Ally jambo litakalo sababisha wanazi wa Bavicha kukimbilia Act Wazalendo
What is ACT? Agricultural Council of Tanzania? Do they have the vibes and the love of the nation??
Are you here to please the chama of Nyumbuz ?? You sound like a fellow wild beast..
 
Back
Top Bottom