Huo ushauri kwanini hujawapelekea UVCCM? hatutaki ushauri wa kinafiki kwa hiyo Lugumi kwenu kama siyo hoja kwa nini bungeni mnakataa asitajwe? Endelea kujitoa ufahamu unatetea buku 7Baada ya kuwahimiza vijana wenu wa BAVICHA kuongeza bidii katika kuanzisha miradi ya maendeleo na kujikita Hata kwenye kilimo,asubuhi asubuhi SAA 1 mpo mnalalamika tu,Mara Lugumi,Mara sheria za mitandao., mkijakushtuka tumewaacha mbali,kafanyeni kazi sio kulalamika humu JF kutwa nzima.
Kinachokuuma wewe ni nini?BAVICHA wamepoteza Focus completely.Badala ya kuhamasisha vijana kufanya kazi kwa kuwapa mbinu mbadala wao ni kutoa Matamko tuu.
Tatizo mtu asipokuwa BAVICHA humu JF wewe Kwa akili unadhani ni UVCCM,hakuna vyama vingine kama ACT etc au kijana asiye na chama??,. Ndo maana tunahisi mmeishiwa Sera,sijaona sehemu siku za karibuni mkiimizana maendeleo,kila nikiona BAVICHA mnalalamikia serikali tu., Wakati watoto wa Mbowe,EL,Sumaye,Lissu wakiwa bize na kuendelea kutusua kimaisha,nyie endeleeni kulalamika tu.Huo ushauri kwanini hujawapelekea UVCCM? hatutaki ushauri wa kinafiki kwa hiyo Lugumi kwenu kama siyo hoja kwa nini bungeni mnakataa asitajwe? Endelea kujitoa ufahamu unatetea buku 7
hiv hawa bavicha kazi zao za kila siku ni zipi? au wanasubr kudandia hoja?Tatizo mtu asipokuwa BAVICHA humu JF wewe Kwa akili unadhani ni UVCCM,hakuna vyama vingine kama ACT etc au kijana asiye na chama??,. Ndo maana tunahisi mmeishiwa Sera,sijaona sehemu siku za karibuni mkiimizana maendeleo,kila nikiona BAVICHA mnalalamikia serikali tu., Wakati watoto wa Mbowe,EL,Sumaye,Lissu wakiwa bize na kuendelea kutusua kimaisha,nyie endeleeni kulalamika tu.
Hakuna kinachoniuma ila sidhani kama kazi ya BAVICHA ni kutoa matamko tuu.Vijana wana changamoto nyingi ambazo zinahitaji fikra mbadala kuzitatua.you should focus thereKinachokuuma wewe ni nini?
yes inaumiza kichwa ndiyomaana tumekataza Lema asisome speech ya kambi ya upinzani.Ahaaaaaaa, bavicha ya hii ya Lowassa inaumiza sana kichwa mkuu
Peleka unafiki wako huko lumumba kachukue buku 7 ukalishe familiaTatizo mtu asipokuwa BAVICHA humu JF wewe Kwa akili unadhani ni UVCCM,hakuna vyama vingine kama ACT etc au kijana asiye na chama??,. Ndo maana tunahisi mmeishiwa Sera,sijaona sehemu siku za karibuni mkiimizana maendeleo,kila nikiona BAVICHA mnalalamikia serikali tu., Wakati watoto wa Mbowe,EL,Sumaye,Lissu wakiwa bize na kuendelea kutusua kimaisha,nyie endeleeni kulalamika tu.
kwa hiyo?Hakuna kinachoniuma ila sidhani kama kazi ya BAVICHA ni kutoa matamko tuu.Vijana wana changamoto nyingi ambazo zinahitaji fikra mbadala kuzitatua.you should focus there
......!!??,. Kama hilo ndo jibu,sishangai ukishinda unalalamika kutwa humu JF huku ukijiita sijui BAVICHA au sijui BAWACHA,maana umekariri na majibu ya buku7,Wenzio Tupo bize na kazi tu.Ukijakushtuka mpo 2% nchi nzima mnaoshinda mkilalamika humu ndani.Peleka unafiki wako huko lumumba kachukue buku 7 ukalishe familia
Ukikosa hoja ya msingi kutetea malalamiko yako,ukaanza kudharau Hata usiowajua bila kuelewa Hata maana ya JF,ukasahau wengine unachat nao sio level zako,ndo inaonyesha haujui na haujui kama haujui unachodhani unakitetea.ALL THE BESTPeleka unafiki wako huko lumumba kachukue buku 7 ukalishe familia