Eng Inc
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 631
- 944
1. Dar Es Salaam Stand UpUnamfananisha solo thang mwana zuoni aliyekomaa na chid benzi aisee unakosea sana chid benzi hana hit song zaidi sita kama zipo zitaje haya njoo kwa mtoto wa mbagala ingia you tube tafuta hizi
1. Mambo ya pwani ft juma nature
2. Nampenzi ft mr paul
3. Vina utata
4. Si ulinikataa ft Q chief
5. Mpenzi nakupenda ft Q chief
6. Hii sauti ft banana zoro
7. Ndani ya party ft simba
8.kilio changu ft Q chief
Hizo ni baazi tu kuna homa ya dunia nk
Haya bado alizoshirikishwa akaua vibaya
Sikiliza
1. Kama unataka dem by jay moe
2. Simu yangu by soggy dogy
3.boss by feruz
4. Mtazamo by afande sele
Wewe usimfananishe solo na msela wa ilala
2. Wewe ndo chaguo langu
3. Bongo flavour
4. Hasira za nini ft Ally Kiba
5. Mpaka kuchee
6. Naitwa nani
7. Umenisoma
8. Lawama ft Matonya
9. Natubu
10. Benzino
11. Baby ft Ray C
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, achana kabisa na hicho chuma cha Ilala kwenye ubora wake, hapo sijaweka ngoma alizo shirikishwa.
Njoo uniambie msanii wa bongo aliyemzidi kwa kufanya collabo, ni kweli ubora wa msanii haupimwi na idadi ya collabo alizofanya, sasa collabo angewekwa nani kila siku kwenye zile ngoma kama chuma kingekua sio noma?