Battle: Chid Benz na Solo Thanga nani alikuwa hatari zaidi kwenye HIP HOP?

Kwa maana ni sawa sawa na kufananisha mbuyu na mchicha uyo chid benzi kamcopy solo kila kitu sauti hadi kuimba sasa nani mkali yani mwanafunzi na mwalimu ufananishe hapo mkali nani???
 
Unamfananisha solo thang mwana zuoni aliyekomaa na chid benzi aisee unakosea sana chid benzi hana hit song zaidi sita kama zipo zitaje haya njoo kwa mtoto wa mbagala ingia you tube tafuta hizi

1. Mambo ya pwani ft juma nature
2. Nampenzi ft mr paul
3. Vina utata
4. Si ulinikataa ft Q chief
5. Mpenzi nakupenda ft Q chief
6. Hii sauti ft banana zoro
7. Ndani ya party ft simba
8.kilio changu ft Q chief
Hizo ni baazi tu kuna homa ya dunia nk

Haya bado alizoshirikishwa akaua vibaya
Sikiliza
1. Kama unataka dem by jay moe
2. Simu yangu by soggy dogy
3.boss by feruz
4. Mtazamo by afande sele

Wewe usimfananishe solo na msela wa ilala
 
Hakuna S bila O
L bila O, mwengine aitwe thang bila SOLO,
Shupavu awajibike kama polo,
jay afande ni ukuta wap chochoro,
Yooh naghan ni mtazamo wa fani,
Ile dhana ni uhuni wameileta hawa katuni,
Kuna kurap na kubwata, marepa na marapa......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom