Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,690
- 6,675
Kulingana na maelezo hapo juu mahakama imeridhia wahusika watumikie jamii kwa MIEZI SITA hadi NOVEMBA 5. Sasa ambacho sijaelewa kama wameanza kutumikia adhabu yao tangu juzi Februari 8 inakuwaje hiyo adhabu ya miezi sita iishe Novemba 5 badala ya wiki ya kwanza ya August mwaka huu?