Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 952
- 1,293
Wabongo bhana sasa mtu atapanda vip na engine juu ya maji? Ukifungiwa tofali tu unazama kwenye maji sembuse uzito wa engine.....ukisikia neno changanya na zako basi kidogo!!
Ha ha haaaa yaani watu wamechukua ujira wao mapemaaaaa, aseee bongo hatari sanaJamani HIACE iliyozama ferry imepatikana ikiwa imeibiwa kioo cha mbele pamoja na engine uko uko chini ya bahari,.
Copy and Paste!
View attachment 341786
sawa maji yalikuwa na pressure ya kutoa kioo na engine jee nayenyewe ni pressure ya maji????????Nyumbu bwana. Mna shida sana. Mkiona kitu hebu jaribuni basi kuchemsha bongo zenu na msifuate mkumbo tu. Pressure ya maji inatosha kabisa kufanya mipira iliyoshika kioo iachie na kioo kitoke.