Basi la Hood lapata ajali Mikumi likitokea Arusha kwenda Mbeya

New force via chalinze ametoa basi zake, ila hood anaikomalia iyo njia kwa sababu yuko peke yake, ila huwa nashangaa arusha to mbeya kuna arusha express via kondoa unafika saa 4uck na inaweza kuwahi Adi saa3uck Ila cha ajabu kuna watu wanakomaa na hood na wanafika Kesho.
Limbwata maybe
 
Kuhusu kulala. Njiani Sio hood huyu jamaa safari ya Arusha mbeya amejimilikisha na nikipande kirefu Sana yupo zaidi YA miaka kumi sidhani kama kuna kampuni nyingine alishajaribu kunusa ihi root.... Huyu chalinze anapita saa kumi na mbil au saa moja jioni Ila kabla YA kuwepo torch alikuwa anapita saa sita au saba... Nissan diesel akikupita ndio kashakuacha.... Kupata ajali ni nadra Sana na nibahati mbaya poleni woteee
Sumry amejaribu 2009 or 2010 lakini alichemka nahisi
 
haya ni madhara ya ufatiliaji mbovu wa sirikal katika hii secta yan unakuta deleva mmoja anaendesha toka arusha hadi mbeya alafu ajali ikitokea unashaangaa wajat ni jambo la kutegemewa kabisa
Serekali itakoma kila jambo serekali jamn kidgo ipumzishen serekali
 
Hood biashara imemshinda.Mabasi yote namba A na yamezeeka sana.Pandeni New Force, Kimotco, Happy Nation, Kiazi Kitamu mk
kwani gari plate namba au injini mdau..... iyo ruti sumry kachemsha abood sijui kama alishawah hata kuifikiria mwanaume hood anapasua mwenyew
 
Hood kuna shida, juzi juzi Arusha tena lilipata ajali, jamani
Ni kweli kabisa Hood kuna shida tena haya mabasi ya Arusha - Mbeya ndio yanaongoza kwa kupata ajali mara kwa mara. Kwa mwaka utasikia ajali hata tatu za mabasi ya Hood ya Arusha - Mbeya.Hata hapo Mikumi kama sikosei hii ni ajali ya tatu mbaya zaidi ni ile iliyotokea mwaka 2015 ambayo ilipelekea basi likawaka moto na baadhi ya abiria kuteketea kwa moto huo.
 
Tareh 6 mwez huu nilitokea Mbeya kuja moshi nilipanda hood nilijuta kwanza gari ilikata mafuta maeneo ya mwanga kuna mda nyaya zikaanza kuwaka moto tulifika morogoro saa tatu usiku likaenda gereji yao pale tukaja kuondoka saa nne usiku kwenda moshi kusema kweli hii kampuni imechoka
 
Mabasi ya OKOA na COMFORT(sio ya kina Mwanyato)...Ndio walikuwa wakongwe wa njia hii,na hatukupata ajali.
Border to Border...TDM_____Namanga.
sikinde.jpg
upload_2017-4-27_14-51-31.jpeg

PICHA HAZIHUSIKI
 
Tareh 6 mwez huu nilitokea Mbeya kuja moshi nilipanda hood nilijuta kwanza gari ilikata mafuta maeneo ya mwanga kuna mda nyaya zikaanza kuwaka moto tulifika morogoro saa tatu usiku likaenda gereji yao pale tukaja kuondoka saa nne usiku kwenda moshi kusema kweli hii kampuni imechoka
Bora hood mm niliwahi kupanda Mbeya express nilijuta tulitoka morogoro saa 12 ilikua naenda arusha gari ikawa inaharibika kila mara ikawa inaleta joto ndan tukashuka korogwe likatengenezwa tukajakukwama tena same tumefika mwanga sa 11 alfajiri
 
Ni kweli kabisa Hood kuna shida tena haya mabasi ya Arusha - Mbeya ndio yanaongoza kwa kupata ajali mara kwa mara. Kwa mwaka utasikia ajali hata tatu za mabasi ya Hood ya Arusha - Mbeya.Hata hapo Mikumi kama sikosei hii ni ajali ya tatu mbaya zaidi ni ile iliyotokea mwaka 2015 ambayo ilipelekea basi likawaka moto na baadhi ya abiria kuteketea kwa moto huo.
Hawa waarabu sijui wahindi, huwa wana mambo sana.
 
Ilikuwaje saa tano usiku Ndio basi liwe mikumi? Mida hiyo tunatarajia basi liwe uyole
Haiwezekani bus SAA 5 liwe mikumi,likichelewa saana SAA 2 bus lipo iringa stand, auvlabra ni gari private imeandikwa hood
 
haya ni madhara ya ufatiliaji mbovu wa sirikal katika hii secta yan unakuta deleva mmoja anaendesha toka arusha hadi mbeya alafu ajali ikitokea unashaangaa wajat ni jambo la kutegemewa kabisa
Dereva wa hood ni wawili na bus likifika Moro linaingia had,mnashushwa linafanyiwa service, then anakuja conductor mwingine na dereva mwingine,bus likionekana si salama mnabadilishiwa bus,sumry ndio hawajali kama bado yapo mabus yale
 
Back
Top Bottom