Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,641
- 32,075
Wakipokea simu unabahati na wakishapokea simu watajidai hawajui sehemu ulipo vamiwa na ukiwaelewesha watachukua hata saa mbili ndiyo wanakuja sehemu ya tukio.....lakini wameonyesha usitadi wa kurusha risasi za moto kwawandamaji na wale walio kuwa wanadai haki zao kule mbeya.....sasa miminawaomba huo usitadi wao wakurusha risasi za moto wazielekeze kwa majambazi...
Hapa ndipo IGP Mwema anapaswa kutuambia vipi '' Taarifa za Ki-intelejensia'' kama zile za Arusha, hakuwahi kuzipata hadi Bus likatekwa?