Basi la Batco lawaka moto maeneo ya Mto Kirumi

Basi la BATCO lenye namba za usajili T192DHW likiteketea kwa moto hii leo katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butama Mkoani Mara. Gari hilo lilikuwa linafanya safari zake kutoka Tarime-Sirari na Mwanza.

Iko wapi hii wilaya
 
Sasa ndugu zangu tunasafirig na document za muhimu au pesa nyingi na kuweka kwenye bag kisha kuviweka kwenye buti,hapo tunakuwa hatuna chetu...fundisho /tahafhar kama una nyaraka za muhimu,au mzgo mdogo wa thamani tujitahid tuwe na rasket ndogo ya kuwekea ivyo vitu na kuwa nayo karibu iyo rasket kama vile cm yako unavyoihifadhi..

Somo zuri kabisa
 
Ila mchina bwana..yaani basi limekongoroka loote...ukigusa hapo unatoboa kwa kidole...mambo ya fiber hayo
 
Kuna Mdau mmoja wa Masuala ya Udereva na Usafirishaji wa Mizigo na Abiria aliwahi kuniambia kuwa siku zote ukiona ajali ya Gari au Basi ni ya Moto halafu hakuna hata Mtu mmoja ama aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha basi jua tu ya kwamba Kafara limekataa na kwamba kuna uwezekano mkubwa huyo Mlengwa ( mmiliki wa Gari / Basi hilo ) akapoteza maisha au kukatokea matatizo makubwa sana katika Familia yake ila akiwahi kufanya tambiko atajiokoa na dhahama.
Achaaa saundiii
 
BAD NEWS!

Basi la BATCO lenye namba za usajili T192DHW likiteketea kwa moto hii leo katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butama Mkoani Mara. Gari hilo lilikuwa linafanya safari zake kutoka Tarime-Sirari na Mwanza.

Chanzo cha Moto huo bado hakijafahamika.

Taarifa za awali kutoka kwa baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo pamoja na abiria wameeleza kuwa baadhi ya mali za abiria zimeteketea kwa moto na hakuna mtu aliyepoteza maisha.

View attachment 521993 View attachment 521994
pole yao
 
Kuna Mdau mmoja wa Masuala ya Udereva na Usafirishaji wa Mizigo na Abiria aliwahi kuniambia kuwa siku zote ukiona ajali ya Gari au Basi ni ya Moto halafu hakuna hata Mtu mmoja ama aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha basi jua tu ya kwamba Kafara limekataa na kwamba kuna uwezekano mkubwa huyo Mlengwa ( mmiliki wa Gari / Basi hilo ) akapoteza maisha au kukatokea matatizo makubwa sana katika Familia yake ila akiwahi kufanya tambiko atajiokoa na dhahama.
Mmh watu mna maimaniiii
 
Duuh l..! Hapo lilikuwa mbio kuitafuta ziroziro..! Pole mliokutwa na hilo janga.
 
Back
Top Bottom