F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,674
- 4,942
mwaka jana nilipta hapo MILIMA YA NYANG'ORO duuh! roho mkono. but kiukwel barabara za kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini zote ni hatar. ukipta ile ya moro lazma upambane na KITONGA ukisema upte hii ya dodoma lazma upambane na NYANG'ORO yaan ni full baraa.