Kuelekea 2025 Bashungwa akiwa kilabuni na baadhi ya wananchi jimboni kwake wakimpigia chapuo Rais Samia pamoja na yeye kuchaguliwa tena 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
1,366
3,787
Wakuu na nyuki wa mama,

Kweli tutaona mengi kabla ya uchaguzi 2025. Mkiwa mnawapa script hawa hata mfanye kuedit basi ili ziendane nao. Wananchi wanaongea unaona kabisa kasukua huyoo anatapika!

Mngekuwa mnafanya kazi kweli na kuwajibika wala msingekuwa mnatumia nguvu kiasi hiki. Wananchi wenyewe tungewachagua kwa mapenzi yetu sbabu ytunaona kweli mnatetea maslahi ya umma.

Lakini mmejaa rushwa, udharifu, uonevu na ukali, afu mnategemea tuwachague, thubutu!

---

1717850114997.png

Ndugu Bashungwa kwenye one and two akihakikisha anashiba vizuri ili akapige picha na wananchi choka mbaya wampigie chapuo apate kuchaguliwa tena 2025:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
====

Pia soma:

Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Vibwengo wa CCM oyee !!
 
Mtaji mkuu wa CCMM Ni ujinga na Umasikini
 
Hakuna mtu atadhubutu kukufuata na kukuuliza mambo ya namna hiyo ukiwa zako sehemu unakunywa , Johnnie walker blue label ,chivas regal au glenfiddich .
 
Kweli tutaona mengi kabla ya uchaguzi 2025. Mkiwa mnawapa script hawa hata mfanye kuedit basi ili ziendane nao. Wananchi wanaongea unaona kabisa kasukua huyoo anatapika!
Naona hapo BIA zinamwagwa; hii pesa unajuwa imetoka wapi?
Waarabu wamenunua misitu, bandari, mbuga za wanyama..., watashindwa kitu gani kununua hawa wananchi wetu kwa vipesa kidogo sana ili mpwa wao aendelee kulinda maslahi yao na kuwapa zaidi na zaidi mali za nchi hii?

Jambo la kushukuru tu, ni kwamba, hata hawa wananchi wetu wameanza kutambua ujinga huu unaofanywa na hawa vijakazi wanaodharau utu wetu.
 
Naamini The state imejipanga sana kuelekea 2025,CC ya CCM itakata Majina yote ya walioambatana hadi Dubai baada ya ule mkataba-ninahisi hiyo kitu!!!
Baada ya mama atakuja Baba na huyo Baba my God atakua more than jpm!!!

Magamba matatu -namheshimu sana kwenye nyuzi zake!!
 
Back
Top Bottom