Bashite atajwa tena bungeni

Huyo Mbunge lazima kaguswa kwenye maslahi yake, kwanza aliyemtaja hajulikani.

Hata aliyoyaongea ni kama yupo chini ya mti anapiga stori na wenzake, hii issue naona sasa kila mtu anatafutia kiki kujulikana, huku majimboni mwao hakuna wanalofanyia wananchi.

Sijui mnachaguaga wabunge wengine kwa sababu gani na wa nini huko mliko khaaaaaa

Hapa kazi tu
Umeandika kitu gani hapa!?
 
Kuna haja ya msingi kabisa ya huyu Mh kuonyesha vyeti vyake kuonfoa utata huu lilioligubika taifa.

Hamna haja ya yeye kusimamia wafanyakazi Wa chini yake wakikaguliwa vyeti ilhali yeye hajafanya hivyo au anatuhumiwa kuwa na vyeti feki hata kama wanaolalamika hawawezi kuthibitisha .

Sheria ni msumeno hukata kote kote. Hapa ndio umerudi upande wake
 
Mbona unatetea uwongo? Rais amesema wenye vyeti feki wachukuliwe hatuwa, watu wamefukuzwa kazi, wengine wamepigwa fine. Inasemekana Mkuu wa Mkowa wa Dar es Salaam vyeti vyake pia si vya ukweli, amehojiwa ameshindwa kujieleza anapiga chenga. For public interest kama hana kitu cha kuficha si aonyeshe vyeti vyake kumtolea Rais tuhuma ya kupendelea? Kwani sauti za wananchi hazina maana. Pale penye public interest Rais Pamoja na kupenda lazima jambo hili aliangalie. Watanzania wote ni sawa kwenye jicho la sheria, hiyo ni ahadi mojawapo ya Rais Magufuli, akaze roho atatuwe hili jambo, Makonda anamchonganisha na wananchi, na maadui wa Rais wanafurahia jambo hili.




Nimeishia ulipoandika "inasemekana"

Malizia kujisoma, sina muda wa kusoma udaku mnaouzungusha kisa mnaisoma namba na kusaga meno. Video iangalie mwenyewe tena then nitumie salamu kupitia TBC1 kuwa iliongelea nini, nitaje tu jina langu Cocochanel

Makonda oyeeeeeeee
 
Nkisikiliza clip moja hivi bashite anamsifia mkulu eti nani kama mkulu jamani nani kama mkulu
Hahahahahah hahaha
Watu watatu tu ndiyo wakitikia kwa aibu
hakuna tena kwa kinyonge, aiseee nkajua hapo Motochini na kale kadada rubi hawakosi
 
Back
Top Bottom