BASATA, Wimbo wa Diamond unahamasisha Kuzuia Kampeni Halali ya Kitaifa Afungiwe

Ha ha haaaaaa

Utapotosha wenzako

Anawaongelea nyie wavivu, wenye tamaa, mliojaa wivu na pia fitna na wabendwa kubebwa.

Mh. Makonda ndie mnaelilia vyeti vyake. Na RC mnataka asimamishwe kazi, ili muendee kuichagua CCM.

Diamond hana kosa na lolote.
Mi hata sijaelewa umeongea nini ...

Any way nikweli Makonda ndio tunalilia vyeti vyake na kweli hatufai tunataka aonfolewe kwa sababa kuu tatu

1. Ni muhalifu amegushi nyaraka za serikali

2. Kama aliweza kugushi nyaraka za serikali kwa manufaa yake atashindwaje kugushi nyaraka za mkoa kwa manufaa yake pia

3. Hana uwezo kielimu kumu wadhifa huo ambao inahitaji uelewa na ni hatari kwa usalama wa taifa


as long as unamsifia Bashite na baba yake wa kumlea BASATA lazima waufyate
 
Back
Top Bottom