Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,281
Wengi pale ni wazee wastaafu halafu ni makada watiifu wa ccm unategemea nini hapo?BASATA ni genge la wahuni, hata lisipo kuwepo ni sawa tu.. 🤒🤒🤒
Kama ndo hivyo, Ndo maana wanaleta upuuzi ndani ya taasisi....Wengi pale ni wazee wastaafu halafu ni makada watiifu wa ccm unategemea nini hapo?
🤣 🤣 🤣Ni sanaa ya tusi
🤣🤣🤣🤣🤣🙌Tulikosea kumpigà na chupa za maji, yule ilibidi apigwe na chupa za sodà zile za kwenye kreti.
Hamjakosea, tusichanganye SIASA na burudani. Ule haukua mkutano wa CCM. UKo poa lakini? Nakuja MbeyaHalikuwa dole,ni kitu alishika mkononi....tukubali tulikosea wanambeya
Alivaa chupi hadharani.Alikosea nini mpaka watu wakamrushia chupa?
Karibu sanaHamjakosea, tusichanganye SIASA na burudani. Ule haukua mkutano wa CCM. UKo poa lakini? Nakuja Mbeya
Wenzetu elimu za vidole mnajifunza wapi, "body languages"Hawa BASATA mbona hawaeleweki? Naona wamelaani mashabiki na wamesahau kumfungia Zuchu kwa kutukana hadharani. Je ishara ile kwao sio tusi?
Au kwakuwa amesema mitano tena basi sheria za BASATA hazimhusu?
BASATA waache kupendelea.
Mbona hakulionyesha tangu anashuka kwenye gari?Hawa BASATA mbona hawaeleweki? Naona wamelaani mashabiki na wamesahau kumfungia Zuchu kwa kutukana hadharani. Je ishara ile kwao sio tusi?
Au kwakuwa amesema mitano tena basi sheria za BASATA hazimhusu?
BASATA waache kupendelea.
Unamaana gani?Mbona hakulionyesha tangu anashuka kwenye gari?