BASATA inaunga mkono kitendo cha Zuchu kuonesha dole la kati kwa mashabiki wa muziki?

BASATA ni genge la wahuni, hata lisipo kuwepo ni sawa tu.. 🤒🤒🤒
 
Hawa BASATA mbona hawaeleweki? Naona wamelaani mashabiki na wamesahau kumfungia Zuchu kwa kutukana hadharani. Je ishara ile kwao sio tusi?

Au kwakuwa amesema mitano tena basi sheria za BASATA hazimhusu?

BASATA waache kupendelea.
Wenzetu elimu za vidole mnajifunza wapi, "body languages"
 
Hawa BASATA mbona hawaeleweki? Naona wamelaani mashabiki na wamesahau kumfungia Zuchu kwa kutukana hadharani. Je ishara ile kwao sio tusi?

Au kwakuwa amesema mitano tena basi sheria za BASATA hazimhusu?

BASATA waache kupendelea.
Mbona hakulionyesha tangu anashuka kwenye gari?
 
Back
Top Bottom