mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,170
Si kweli yaani hata wakina P.H.D Le Mutuz big show hawajamuana? Akaoge na maji ya ziwaBashite mtoto wa mfalme amefoji vyeti ila ana umuhimu mkubwa kwenye serikali ya CCM kutokana na uhaba wa viongozi huko CCM ndiyomaana anaachwa aendelee kufanya huo ubashite wake.