Barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii dhidi ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na utapeli katika vituo vya waathirika wa dawa za kulevya

Mbaga Jackline

New Member
Apr 8, 2023
1
3
Salaam Mheshimiwa.

Kwanza nikupongeze kwa juhudi binafsi unazoendelea kuzionyesha katika Wizara yako na Serikali kwa ujumla.Tunaelewa kusudi kubwa la Serikali kuimarisha huduma bora kwa wananchi wake hasa maendeleo ya jamii kiujumla.

Lengo kuu la barua ni kukujulisha juu ya mambo ya kipuuzi kabisa yanayoendelea katika vituo vya kuwasaidia watu walioathirika na madawa ya kulevya na wenye matatizo ya afya ya akili hasa katika Mkoa wa Arusha eneo la Kisongo.

Kaka yetu alimpoteza mke na mwanae kwa ajali akawa ana msongo mkubwa wa mawzo hivyo Novemba 2022 tuliamua kumpeleka Kaka yetu mkubwa kutoka Same aweze kumuona tabibu wa Afya ya Akili katika Hospitali ya Rufaa ya Mt.Meru ambapo aliyemu-attend anaitwa Dr. Pascal wa kitengo husika na katika mrejesho wake akatueleza tumkabidhi shilingi 350,000/= kila mwezi kuna kituo maalum anampeleka ataendelea kumfanyia psychotherapy kwa muda wa miezi 3. Baada ya muda tukajua amempeleka katika kituo kinaitwa Arusha Recovering Sober House kilichopo Ngaramtoni ya Chini au wao wanapaita Kisongo.

Tulipata mashaka (nikikumbuka jambo kama hili lilishaongelewa bungeni mwaka 2018 >>> link
)

Baada ya kukatazwa kwenda kumuona ndugu yetu na pia tulipopewa namba ya mmiliki wa kituo hicho aitwaye Aziz Mkwawa mwenye namba za simu 0719206888/0719706888 ambazo tulielekezwa kutuma pesa huko alivyokuwa anajua ni sisi basi akawa anasema sehemu ya tiba hatakiwi kusumbuliwa na akajiita yeye ni Daktari wa tiba ya akili pia.

Kufupisha mapito na machungu yote, baada ya danadana kuwa nyingi na sisi kuwa na mashaka tulikataa kulipa mpaka tumuone ndugu yetu basi wakakubali.

Hali tuliyomkuta nayo inasikitisha mno sababu, kituo kina watu zaidi ya 60 wanashindia ugali ngogwe japo tunalipa pesa hiyo,na wanajisaidia kwenye choo kimoja tu watu wote.
Tulimkuta ana alama za kupigwa sana mgongoni akatueleza kuna vijana wanaowasimamia ambao nao pia ni waraibu na huyo Aziz anawalipa kwa kuwapiga na majina yao ni Mutsafa,Devi,George na Baraka na wanawatishia wasiwaeleze ndugu zao.Kwa ushahidi mkifika hapo kituoni jaribu kuwakagua hao vijana wote hapo ndani.

Tulidanganywa analala kitandani kumbe wanalazwa kama wafungwa chini na gharama ni kubwa kulingana na hali ya maisha.

Utapeli wa kushirikiana kati ya Dr. Pascal na Aziz ambaye tuligundua hajui kuandika baada ya ujumbe aliokuwa anatujibu huku anajiita na yeye ni Daktari,ni utapeli mkubwa sana unaoendelea hapo Jijini Arusha kwa kutumia matatizo ya watu kujinufaisha kwa uongo.

Tuliandika barua yetu ya malalamiko na kutaka kuchunguzwa na hatua za kisheria zichukuliwe kwa Mkuu wa wilaya Cc; Mkuu wa mkoa ila mpaka sasa hatukupata majibu basi ndugu yetu akashauri tutumie jukwaa hili kupaza sauti na nina imani ombi hili litafanyiwa kazi na hatua stahiki zitachukuliwa.

Wasalaam.

PS: Nimejaribu kutafuta picha yake mtandaoni nikafanikwa kuipata hii...

52575191_104552974025853_3775435755384471552_n.jpg
 
View attachment 2580638
Huu uzi muhimu ulipitaje kimya hivi?
 
Kwamba Watz wa JF hawajauona huu uzi??
 
Hapa Kuna mtu wa kukwambia daktari ukakubali kweli? So mmeamuaje si aende Lumande tu akawaone wazee
 
Barua Yako ni ndefu sana. WAZIRI hana muda wa kusoma meaelezo yote hayo.

Njoo ofisini utahudumiwa.

Note: Usipende kutafuta kiki mitandaoni. Onana na wahusika utasaidiwa.
 
Back
Top Bottom