Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 7,486
- 6,603
Ukiipinga dola uwe sheikh uwe askofu basi wewe si mwenzetu.....
Hawa masheikh wamesahau kuwa:
1. Aliyesweka ndani masheikh wa Zanzibar ni rais muislamu, na mwenyekiti wa CCM wa wakati huo
2. Aliyewapa masheikh kesi za ugaidi huko Arusha ni rais muislamu, tena alikuwa mwenyekiti wa CCM
3. Aliyempiga risasi sheikh Ponda ikamjeruhi almanusra imtoe uhai ni rais muislamu, na alikuwa mwenyekiti wa CCM
Na aliyekuwa akipaza Sauti kuwatetea wote hawa ni CHADEMA. Hata kampeni za Urais za CHADEMA zilijikita katika kuwatetea hawa masheikh!