Barua ya wazi kwa Mzee Bakhresa, Gharib wa GSM na Mo Dewji: Wakati mkiwekeza katika michezo, isaidieni jamii pia kwenye mambo mengine ya maana

usiwasukumizie wengine matatizo yanayosababishwa na serekali ya CCM.

Bakharesa analipa kodi kubwa sana nchini, hiyo pesa ndio ilitakiwa ijengewe mahospitali na vyuo bali CCM wameamua kujinunulia ma v8 sasa kosa lake ni nini?
 
Back
Top Bottom