Barua ya TANESCO hii Hapa kwenda EWURA na Wizara ya Muhongo; Muhongo na Bosi Wako Muogopeni Mungu!

bora kaskazini tuwe na nchi yetu kwa hii hali na kwa mikoa mi4 tuliyonayo yenye rasilimali nyingi tutapiga hatuaa kubwa saanaa hapo tukiwa na raisi wetu LOWASSAA
Mimi mwenyewe nilikuwa na wazo hilo mkuu so utekelezaji inabidi uaze mara moja
 
Kwani ishu ni barua??
Alafu hiyo barua imeelekezwa ewura sio wizara ya nishati na madini.

ishu ni barua ndio, rais amesema wamepandisha umeme bila kumshirikisha.

na barua haiwezi kuandikiwa wizara, wizara imetumiwa copy, bosi wa Tanesco ni EWURA katika masuala ya kupandisha umeme. Tanesco Hawawezi kuwavuka EWURA kuwasiliana na wizara moja kwa moja.
 
WanaJF,

Siungi mkono kuongezeka kwa bei ya umeme lakini pia siungi mkono uonevu uliofanywa kwa Mhandisi Mramba.

Watanzania, kushangilia kutumbuliwa kwa Mtanzania mwenzako haina maana kuwa maisha yako yatapata unafuu kwa namna yoyote ile!

Hivyo basi ni vyema ukatumia kipindi kifupi cha maisha yako uliyobakiza Duniani walau kusimamia haki na kupinga uonevu unaofanyika dhidi ya Wanadamu wenzetu hapa nchini.

Jisomee barua kisha usikilize maneno ya Muhongo kuwa hakuwa na taarifa kuhusu nia ya TANESCO kupandisha gharama za umeme ilhali barua ilitumwa wizarani kwake tangu mwezi Septemba 2016.

View attachment 453209
Full abuse of Power
 
Back
Top Bottom