hilo deni alilokuwa anadaiwa kama ni lake binafsi kwa thamani ya pesa kipindi kile basi alikuwa na kila dalili za ufisadi,hivi huyu si ndiye alienda london akakuta bilioni tatu imkuwa frozen!!!!!
Na Wewe ndio ukaamini!
Na ile ya Shimbo mnadhimu wa Jwtz kuwa na 6 trillion kwny account SA uliamini?