Barbara Gonzalez kutambulishwa leo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba

Ndio maana yake 😂. Ndio aliempiga mimba na kumnunulia mchuma
Watanganyika katika ubora wenu!! Umbea na ujinga tu! Sasa Barbra kuzaa ni kitu cha ajabu!! Si ni mwanamke uyo!
JF imevamiwa na low IQ mada inazungumzia Barbra kurudi Simba! Mtu anakuja na kusema Barbra amezaa na anaweka na emoji ya kucheka kabisa!! Kuna mijitu mijinga sana nchi hii.
 
Pole mkuu maana umechafukwa sana
 
Back
Top Bottom