Dovutwaaaaaaaa.......ustaadh Fahmi (au Yahmi kwa mujibu wa NEC) nakumbuka ulisema unajitoa kugombea kwakuwa jina lako liliandikwa kimakosa na NEC "YAHMI" badala ya FAHMI. Hukuishia hapo, ukasema UNAJITOA NA KURA ZOTE AMBAZO UNGEPIGIWA HUZITAKI BADALA YAKE ULIWAOMBA WAPIGAKURA WAKO WAMPIGIE KIWETE. Sishangai ukija na hii holly CRAP. Dovutwa kwangu mimi HUNA THAMANI kama gazeti la juzi (tena gazeti la Mtanzania)
Kiti cha UN ni kuwakilisha Taifa
Kiti cha mbunge kinawakilisha wananchi
So idadi ya kura alizonazo mbunge wa tanzania bara inaweza kuwa mara mbili au tatu idadi ya kura alizonazo mbunge wa Visiwani
Kwanza angetoa taarifa ya kukataa serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar kwani imeundwa na vyama viwili tu na hali kuna vyama 19 nchi hii(nirekebishwe kama sipo sahihi).
Wakuu hivi mfano Dr. Slaa angekuwa ndiye raisi kwa sasa (which was very likely) na CHADEMA ingekuwa na majority ya wabunge (Lakini wote kutoka Tanzania bara) je wangelazimika kuteua watu kutoka Zanzibar kuwa mawaziri just for the case ya kuweka serikali yenye sura ya muungano? Katiba inazungumzia lolote kuhusu hili? Na je ni mawaziri wangapi wanatakiwa kutoka bara na wangapi kutoka Zanzbar?
All in all hilio pia linaonyesha ni namna gani mapungufu ya muungano wetu yalivyo. Na with the current state of affairs kuna uwezekano wa Mzanzibari kuwa raisi wa muungano miaka ijayo? Maana it's likely too Salim ndiye alikuwa wa mwisho kuwa na karata hiyo.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
16/11/2010
YAH: BARAZA KIVULI LA CHADEMA NDANI YA BUNGE NI
BATILI HALINA SURA YA MUUNGANO
Ndugu
Waandishi wa habari,
Napenda kuwaeleza kwamba sura ya baraza kivuli lililoundwa na Chadema ndani ya Bunge la Jamhuri wa Muungano ni batili.
Limekuwa batili kwa sababu ya kukosa sura ya muundo wa muungano. Shulghuli zote za Bunge la Muungano ni sharti zijenge sura ya Muungano vinginevyo baraza kivuli la Chadema ni baraza kivuli la Tanzania Bara.
Kwa mantiki hiyo bado kuna nafasi kwa vyama vilivyo baki ambavyo havikuingizwa kwenye baraza kivuli la Chadema kuunda baraza kivuli mbadala litakalokuwa na sura ya muungano.
Kwa kuwa CUF ndio chama kilichokidhi sifa ya kimungano. Ni vema CUF ikatoa kiongozi wa upinzani bungeni.
Nachukua nafasi hii kumuomba Mhe: Spika wa Bunge tukufu kutoa maelekezo kuchagua baraza kivuli litakalokuwa na sura ya muungano.
Ndimi,
---------------------------------
Kom Fahmi Nasoro Dovutwa
Mwenyekiti-UPDP-(T)