Barack Obama Special Thread - continued...

Just to affirm you... with regard to Obama thread, no one has been locked out, we acknowledge having a minor glitch hence you can't normally post your comments. We are working hard to resolve it. In the meantime, you may continue your discussion on Obama and Clinton via this thread. The title will change and we'll merge the two later on. Thank you !
 
Hata mimi naona kule siwezi kuingia, nilifikiri peke yangu kumbe tupo wengi!

Kwa kweli matokeo ya jana yamenikata maini kabisa. Na nafikiri kwa hapa alipofikia kuna haja ya ya Fighter Hillary kumpisha huyu kijana aendelee. Inauma sana kushindwa lakini sasa ndiyo hivyo inabidi akubali tu yaishe. Hata mimi ningekuwa super delegate baada ya matokeo haya ningemshauri kabisa Fighter Hillary akabidhi mikoba kwa Obama ili safari iendelee.

Go Fighter Hillary Go!
 
Nafikiri dreams za Sen. Clinton kuishi 1600 Pennsylvania Avenue kwa miaka mingine minne (2008-2012)sasa ni wishful thinking. Hongera kwa ushindi wa jana wa 2% kule Indiana....a win is a win lets not undermine that..lakini hebu tujibu swali. With all the Campaign Chaos Strategy by Rush Limbaugh..she's been able to pull a victory with a very tight margin, what does it say about her argument that she can win?
 
May be you should ask yourself, how can this guy, Rush Limbaugh, have such an influence?
 
Back
Top Bottom