Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,295
kiufupi tabata hakuna barabara..tofauti na hii tabata road nyingine zote ni za ovyo,.kule kinanga ndo hovyo kabisa barabara zote ni mashimo,angalau kidogo ya kisukuru,ukija uku umoja road ni mashomo,st marys na michepuko yake miwili ni mashimo ya kufa mtu,ukitoka camp ukanyoosha moja kwa moja kama unaenda kanisani ni mashimo pia,ukija barabara ya tbt changombe ni mbavu za mbwa za kufa mtu,ujija barabara ya vingunguti hii imejengwa haina hata miezi sita uku mwanzoni maeneo ya barakuda niishimo ya kufa kima,ukija segerea kote hakuna barabara ni mishimo tu,njoo mbele tabata segerea nyuma ya gereza kunaitwa kwa mahita au kwa chege kule ndo funga kazi barabara ni mbovu kama wanafugia ngombe kuna makorongo balaa mpaka nawashagaaga wanaojenga kule,kunatisha...njoo hapa mbuyuni huku ndo kwangu basi ni shida tupu barabra zonachongwa kwa magari yetu tunafanya kuwalipa wenye maeneo yao ili tupitishe gari stuation itakua worse kama mamlaka hazita shtuka..kinyrrezi ndo usiombe hawa ni sawa na mbuyuni watu wanajenga ovyoovyo no easement,wasipo wahi mapema kinyerezi itakua kama manzese as in watu walinunua mashamba makubwa hivyo wanauza kidogo kidogo watu wanajenga wanabanana hakuna hata njia za kupita ,naeneo ya songas kule juu kusha kua manzese tiar full kubanana nyumba hazieleweki.