MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,085
- 7,392
Kwa upande wa barabara magu namkubali sana toka aingie magogoni barabara nyingi sana zimewekwa sawa na zinaendelea kuwekwa sawa, kuanzia zile za mitaa hadi zile za wilaya-wilaya na hata mkoa kwa mkoa.
Ni jambo jema kuikumbuka hii Njombe-Makete road maana imetelekezwa toka enzi za maisha bora kwa kila fisadi kitu ambacho kimekuwa na shida tupu kwa mtu wa makete kuja Njombe mjini, ama watu wa njombe na viunga vyake kwenda makete