Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,068
- 2,365
- Thread starter
- #21
Naangalia pesa tu! Njoo nikupangishe uweke kanisa si mbaya! Andaa 700k,babu baa ni laana za kishetani.. kama upo serious nicheki inbox tufanye mpango hilo eneo tubomoe hiyo baa na tujengo kanisa au msikiti watu wa Mungu waendelee kupata mi-baraka na neema tele za mbinguni