Bank gani naweza kufungua account na kupata Visa au Master Card siku hiyo hiyo

Naomba msaada ni Bank gani naweza kufungua account na kupata Visa au Master Card siku hiyo hiyo maana na uhitaji nayo mapema sana

Msaada wenu wakuu...
Shukurani
Mimi CRDB nilifungua nikapewa card hapo hapo ndani ya lisaa moja kumliza usajil card yangu hiyo nikaitest ATM nikaeka password yangu na kufnya kazi nikaondok zangu
 
Mkuu nenda abc ndani ya masaa mawili unaanza kuitumia kinachohitajika ni kitambulisho chako tu pamoja na 15000 inayoingizwa kwenye acc yako na unaweza ukaitumia
 
Nenda Barclay's,huna haja ya kuwa na passport size,nenda na kitambulisho tu unafunguliwa account hapohapo na unapewa VISA ATM card papo hapo,na kizuri zaidi utaweza ku deposit pesa zako kupitia ATM zao,hakuna gharama za kugungua account mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom