Kumbe hii ndo bangi buana!Unazani akitoka hapo atakuwaje
Nasikiaga tu bangi, bange na bhangi sasa sujui nani yuko sahihi na wote hawa ni washahili wenzako. Haina jina kwa lugha yangu maana haipo kwetu.Km
Ooh kumbe kikwenu ni bangi badala ya bange
Sawa mkuu
Atakuwa si ridhiki
Duh ! kumbe hii kitu hata Meee wanaipenda !
Naona kamasi zimeanza kumtoka,angalia vizuri hapo...
Mkuu umezidiKwa taarifa tu, aliyeanza kuvuta bangi ni mchunga mbuzi. Aliwaona mbuzi wanatembea kula majani ya aina zote, lakini wakifishakula majani ya bangi wanasizi na kuwa wapole sana. I kabidi afanye utafiti kujua, kulikoni? And the rest was history.