Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,073
Mkuu kwa mwenye taarifa ya uhakika na yale magari ya ccm land cruiser zilizo ingizwa kabla ya uchaguzi wa 2010 zililipiwa kodi halali?Ni kama wale wateule walivyoungana na kwenda kumpa nanihii tuzo, the motive behind the prize was kushukuru kupewa favour fulanifulani, likewize hapa kuna maswali ya kujiuliza, kama makontena maelfu yalipita free, watashindwaje kuipa promo hiyo bandari