shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Umetokea msikitini ukiwa bado na maruweruwe ya kijinijini mramba yangu lini escrwo anahusika,kubwa hapa ni kuwa mnadai hamuibi sasa majina hayo ni majini au watu?Chenge, Mramba, mama tibaijua, philipo na wengine wale waliokula fedha ya Rugemalila walikuwa waislamu. Na kibaya zaidi mmeamua kuanzissha Benk ya Mkombozi ili mtuibie vizuri. Hujitambui wewe.