Balozi zote za Israel duniani kote haziko salama tena kuanzia sasa, anaonya Kayhan, msemaji wa Kiongozi Mkuu wa Iran. Mapigo yatakua nje na ndani

BAKIIF Islamic

JF-Expert Member
Jul 11, 2021
600
1,840
Third World War Info

-Balozi za Israel duniani kote haziko salama tena, anaonya Kayhan, msemaji wa Kiongozi Mkuu wa Iran Khamenei.

-Licha ya Iran kuendelea kupanga namna itavyoshambulia na kuimaliza Israel, Iran imeongeza tena mipango yake yaapa kulipiza kisasi kushambulia balozi zote za Israel duniani kote.

-Vyombo vya habari vya Ulaya na wachambuzi wanadai kuwa Iran inaweza kulenga maslahi ya US/UK kama vile maslahi ya Israeli katika Ulaya na Ghuba.

-Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amemkashifu Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akiahidi "kumpiga makofi" kwa tuhuma za shambulio la anga nchini Syria.

-Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema Washington imetuma ujumbe Tehran kwamba "haikuhusika" katika shambulio la ubalozi mdogo wa Iran huko Damascus, Syria, na kwamba Iran haipaswi "kutumia shambulio hili kama kisingizio cha kushambulia vikosi na vituo vya Marekani.

Nguvu ya Iran

1712223560669.png

...

1712223620721.png
 
Ngoja israel atamuwahisha huyo Ayatollah wenu kwa mabikra 72

Watu wa ajabu sana ninyi, badala kumuunga mtu ambae ameuliwa watu wake, yani nyie ndio kwanzaa mpo na adui namba 1 duniani, ISRAEL, USA, UK N.k

Wapalestina wanauliwa ila cha ajabu mpo na killers

Kweli, Qur’an ilishamaliza kila kitu👇
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
 
Mkuu ni upumbavu na ushetani kiwango cha juu kabisa,kuunga mkono kisasi,hayo mambo yako kwenye uislam huko kumejaa watu wa ajabu kuanzia mtume.

Israel anawezakuwa kama mwehu ambaye ameona hana cha kupoteza,utaamua wewe uepushe shari kwa kuonyesha umekomaa zaidi au uendelee wote muwe wehu.ila changamoto ya kukubali kuwa mwehu ni hii wenye akili watakaa upande wa chizi aliyekuchokoza,kwamba huwenda kweli una matatizo,kwanini ujishughulishe na mwehu??
Kweli, Qur’an ilishamaliza kila kitu👇
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
na huu ndio upuuzi mmoja wapo uliopo ktk quran,hii kitabu ni tatizo.
وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
Ndipo wamekataa sasa,utawalazimisha???hilo si ni jambo la Mungu mwenyewe kaamua kuwafanya wabishi??
 
Third World War Info

-Balozi za Israel duniani kote haziko salama tena, anaonya Kayhan, msemaji wa Kiongozi Mkuu wa Iran Khamenei.

-Licha ya Iran kuendelea kupanga namna itavyoshambulia na kuimaliza Israel, Iran imeongeza tena mipango yake yaapa kulipiza kisasi kushambulia balozi zote za Israel duniani kote.

-Vyombo vya habari vya Ulaya na wachambuzi wanadai kuwa Iran inaweza kulenga maslahi ya US/UK kama vile maslahi ya Israeli katika Ulaya na Ghuba.

-Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amemkashifu Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akiahidi "kumpiga makofi" kwa tuhuma za shambulio la anga nchini Syria.

-Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema Washington imetuma ujumbe Tehran kwamba "haikuhusika" katika shambulio la ubalozi mdogo wa Iran huko Damascus, Syria, na kwamba Iran haipaswi "kutumia shambulio hili kama kisingizio cha kushambulia vikosi na vituo vya Marekani.

Nguvu ya Iran

View attachment 2953628

...

View attachment 2953629
Si tunasubili ashambulie ardhi ya Israel direct mbona zimeanza tena kelele za kushambulia balozi sijui MOSSAD warehouse (blacksite) Harafu siku zote ukiona unajielezea sanaaa ujue ww ndio shida

Acha maneno weka mziki by darasa kamplay-ishie Ayatollah ako ka wimbo
 
Watu wa ajabu sana ninyi, badala kumuunga mtu ambae ameuliwa watu wake, yani nyie ndio kwanzaa mpo na adui namba 1 duniani, ISRAEL, USA, UK N.k

Wapalestina wanauliwa ila cha ajabu mpo na killers

Kweli, Qur’an ilishamaliza kila kitu👇
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
Hao wa Palestine wapigwe TU hata Mimi Ningekuwa karibu ningewapiga.
 
Huyu aliyeandika hiki kitabu, alishang'ata shuka mda Mrefu sana, Hivyo hakina umuhimu wowote ule hapa Duniani.. 🤒🤒.
 
Iv hamas walipovamia israel...waisraeli walipiga mdomo wakipanga siku ya kulipiza au walilipiza on spot
Walipanga mikakati ya vita ya wazi na wakaweka mipango yao yote hadharani kisha ndio wakaanza kushambulia.
Rejelea taarifa za IDF
 
Watu wa ajabu sana ninyi, badala kumuunga mtu ambae ameuliwa watu wake, yani nyie ndio kwanzaa mpo na adui namba 1 duniani, ISRAEL, USA, UK N.k

Wapalestina wanauliwa ila cha ajabu mpo na killers

Kweli, Qur’an ilishamaliza kila kitu👇
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
Unakumbuka october 7 nini kilitokea huko israel? This is the consequence,relax
 
Back
Top Bottom