Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,626
- 40,526
Hiyo Radio ipigiwe kura ya Radio bora ya Mwaka.
Mkuu, kwahiyo kua ccm ndo tusapoti ubashite?Hapa bukoba mjini kuna redio inaitwa kasibante inamilikiwa na aliyekuwa waziri wa maliasiri na utalii Balozi Hamisi Kagasheki. Tangu tamko la kutoandika habari za RC Makonda litoke wao wamebuni kibwagizo kinachosema " ZERO ZERO ZERO" na kinapigwa kila baada ya sekunde 30 wakati wanacheza nyimbo. Nasema thisi is too much kwa sababu Kagasheki ni kada wa CCM, chombo chake kufanya hivi huu ni usaliti, Magufuli anakuona ujue.
Kwa hiyo CCM mnakubaliana na ZERO, ZERO, ZERO.Hapa bukoba mjini kuna redio inaitwa kasibante inamilikiwa na aliyekuwa waziri wa maliasiri na utalii Balozi Hamisi Kagasheki. Tangu tamko la kutoandika habari za RC Makonda litoke wao wamebuni kibwagizo kinachosema " ZERO ZERO ZERO" na kinapigwa kila baada ya sekunde 30 wakati wanacheza nyimbo. Nasema thisi is too much kwa sababu Kagasheki ni kada wa CCM, chombo chake kufanya hivi huu ni usaliti, Magufuli anakuona ujue.
Stupid and instigative mindset. Kipindi hicho kipo toka zamani, acha kutufarakanisha ktk Chama.Hapa bukoba mjini kuna redio inaitwa kasibante inamilikiwa na aliyekuwa waziri wa maliasiri na utalii Balozi Hamisi Kagasheki. Tangu tamko la kutoandika habari za RC Makonda litoke wao wamebuni kibwagizo kinachosema " ZERO ZERO ZERO" na kinapigwa kila baada ya sekunde 30 wakati wanacheza nyimbo. Nasema thisi is too much kwa sababu Kagasheki ni kada wa CCM, chombo chake kufanya hivi huu ni usaliti, Magufuli anakuona ujue.
Mpaka huko mnamjua mh wa matukio? Msiwaanze tu ma RC wenu, maana mikoani kwa kuiga hamjambo. Kikitokea Dar, na nyinyi hao.Hapa bukoba mjini kuna redio inaitwa kasibante inamilikiwa na aliyekuwa waziri wa maliasiri na utalii Balozi Hamisi Kagasheki. Tangu tamko la kutoandika habari za RC Makonda litoke wao wamebuni kibwagizo kinachosema " ZERO ZERO ZERO" na kinapigwa kila baada ya sekunde 30 wakati wanacheza nyimbo. Nasema thisi is too much kwa sababu Kagasheki ni kada wa CCM, chombo chake kufanya hivi huu ni usaliti, Magufuli anakuona ujue.
TULIA WEWEEEHapa bukoba mjini kuna redio inaitwa kasibante inamilikiwa na aliyekuwa waziri wa maliasiri na utalii Balozi Hamisi Kagasheki. Tangu tamko la kutoandika habari za RC Makonda litoke wao wamebuni kibwagizo kinachosema " ZERO ZERO ZERO" na kinapigwa kila baada ya sekunde 30 wakati wanacheza nyimbo. Nasema thisi is too much kwa sababu Kagasheki ni kada wa CCM, chombo chake kufanya hivi huu ni usaliti, Magufuli anakuona ujue.