BAKWATA lawamani kwa kutoomba kibali cha kuagiza sukari kwa Rais, mwezi Ramadhani

Ijumaa iliyopita baadhi ya msikiti Temeke , imeitupia lawama baraza kuu la waislamu (BAKWATA) kwa kutoomba kibali cha kuingiza sukari kama ilivyozoeleka miaka yote. Na baadhi ya wakutubi wameenda mbali kuwa bakwata inamchonganisha JPM na wauumini wa kiislamu.

Mwezi mtukufu umeingia na futuru kubwa ni Uji na uji kiungo chake kikubwa ni sukari. Kukosekana kwa sukari kutaathiri sana funga.

Ushauri Bakwata bado wana muda wa kuomba kibali cha kuagiza sukari ili kupunguza makali ya swaumu mfungo wa Ramadhani.

Ntafurahi iwapo Raisi atawatakaia waislaam funga njema ya mwezi wa Ramadhani. Naona watu washaaanza kufunga lakini bado Bado JPM hajatoa salam ya kuwatakia funga njema wapiga kura wake.
kagera sugara kilombero washaanza msimu sasa waagize wapi ?acheni.siasa.huyo.Bakwata aliesema ni.nani?chanzo habari.plz
 
Sijaona mantiki ya bakwata kua wanapewa kibali cha kuagiza sukari, kwani wao ni wafanya biashara? Hua wanaiuzaje kwa wafanyabiashara au wao wana maduka yao spesheli?.

Unawatafutia watu ban makusudi kwa kutokujua kwako si bora vingine unakauishia tu! ili siku ipite wakikujia utabadilisha muktadha ya mtoa mada na mtaamia kwengine.
 
Ijumaa iliyopita baadhi ya msikiti Temeke , imeitupia lawama baraza kuu la waislamu (BAKWATA) kwa kutoomba kibali cha kuingiza sukari kama ilivyozoeleka miaka yote. Na baadhi ya wakutubi wameenda mbali kuwa bakwata inamchonganisha JPM na wauumini wa kiislamu.

Mwezi mtukufu umeingia na futuru kubwa ni Uji na uji kiungo chake kikubwa ni sukari. Kukosekana kwa sukari kutaathiri sana funga.

Ushauri Bakwata bado wana muda wa kuomba kibali cha kuagiza sukari ili kupunguza makali ya swaumu mfungo wa Ramadhani.

Ntafurahi iwapo Raisi atawatakaia waislaam funga njema ya mwezi wa Ramadhani. Naona watu washaaanza kufunga lakini bado Bado JPM hajatoa salam ya kuwatakia funga njema wapiga kura wake.
BAKWATA haifanyi biashara.
Bahati mbaya walioficha sukari wanajifanya waislam,Zakaria,Turky n,k
 
Ijumaa iliyopita baadhi ya msikiti Temeke , imeitupia lawama baraza kuu la waislamu (BAKWATA) kwa kutoomba kibali cha kuingiza sukari kama ilivyozoeleka miaka yote. Na baadhi ya wakutubi wameenda mbali kuwa bakwata inamchonganisha JPM na wauumini wa kiislamu.

Mwezi mtukufu umeingia na futuru kubwa ni Uji na uji kiungo chake kikubwa ni sukari. Kukosekana kwa sukari kutaathiri sana funga.

Ushauri Bakwata bado wana muda wa kuomba kibali cha kuagiza sukari ili kupunguza makali ya swaumu mfungo wa Ramadhani.

Ntafurahi iwapo Raisi atawatakaia waislaam funga njema ya mwezi wa Ramadhani. Naona watu washaaanza kufunga lakini bado Bado JPM hajatoa salam ya kuwatakia funga njema wapiga kura wake.
Tena we acha kuhusisha dini yangu na siasa zako we nani unazungumza ?msemaji wa bakwata hajulikani ?
 
Mlikua na kwarezma yenu nani aliwaongelea ?mambo yetu tuachieni wenyewe maana kila kitu mnaweka siasa
 
Ndugu zetu wamefunga Kwarezma hamna mtu wetu aliekaa kujadili mambo yao naona wameanza ongea mara Bakwata wameongea kuhusu sukari Msemaji wetu mkuu ni Muft .

Dini inaeleza kuombana msamaha kwa yote kabla ya kuanza ramadhani.Tubakir imani zetu zituongoze huu ni mwezi Ambao Quran ilishuka na tujitahidi kuuheshimu na kuupa uzito unao stahili.Tusome sana Quran na kuepuka majungu unafiki ,kufitinishana Inshaaalah Allah ataweka wepesi .Tushtakie kila jambo kwake.
 
Salam sio miongoni mwa nguzo za fuga, na sidhani kama waislam tuna dhiki hiyo
 
Swali ni je hao wanasiasa ambao mnajua kabisa ni wachafu wakiamua kufutulisha mtagoma kula futari yao.??
 
Unaandika then unajijibu then unajitukana then unajijibu tena....dadeeeki
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Chelsea Clinton retweeted
Hillary Clinton
@ HillaryClinton 16h
As we begin Ramadan, I wish all Muslims a blessed time of reflection, family, and good health. Ramadan Mubarak. -H
View details ·
 
Lakini wenzio walalamika bei mbaya, wengine wanapendekeza recipe za wataalam wa kamati ya ufundi. Fuatilia uzi utaacha kutoa povu.
uzi gani boya wewe toka ujue msamiati huo ni shida eroo ?we pita kule kwarezma si imeisha unawashwa nn ?
 
Keshawatakia
1465232324699.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom