Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,826
Bajeti ya kumnyonya mwananchi.
Duh! Noma sana !Watanzania wamechoshwa na bajeti hewa. Wanadanganya bajeti ni 29 trillions lakini pesa inayotoka ni 34% tu. Bajeti hii ni 31.6 trillions 9.5 trillions kati ya hizo inakwenda kulipa deni la Taifa. Sijui hadi mwishoni mwa June mwakani watakuwa wametoa asilimia ngapi.
Watanzania kwanini mmeamua kususia bajeti yenu jamani ?Kwani bajeti imesomwa lini? Vipaumbele ni vip?
Kwani ni lini inasomwa hiyo bajetiWamechoka kuongopewa!
Kwani mtoa mada ni nani... Haya twambie huko mtaani kwenu hali ikoje ya ufatiliaji wa bajeti liveNaona nyumbuz wanajipa matumaini, sio vibaya kwakwel!
Tu assume ngosha kachemka kuendesha nchi, je kwa mtaji huo tumpe boss la mafisadi kama mbadala?!